Saturday, June 04, 2011

Kitu kipya

Ndugu zangu na wadau wa blog yako uipendayo.

Ikiwa unahitaji tukutangazie katika mitandao yetu ya www.gemmonetz.blogspot.com,www.elishama.biz na www.tangazauangaze.blogspot.com unaweza wasiliana nasi nawe utatangaziwa bila hiana.

Kama una matangazo ya kazi,kuzaliwa,kuolewa, kupata scholarship, graduation. Unatafrija, unaza kiwanja, unauza mali yeyote usisite kuwasiliana nasi haraka sana.

Kwa mawasiliano zaidi tuandikie kupitia info@elishama.biz

Karibu na ujionee Tofauti.