Tuesday, September 21, 2010

Maisha ya Kitanzania

Hapo sio zizi la ng'ombe wala kuku. Hiyo ni sehemu ambayo binadamu anaweka ubavu wake pia anaishi na jamaa zake.

Nchi imejaaliwa kuwa na viongozi walio na busara za utafuta madaraka tu. Ewe Diwani unafikiria nini juu ya wananchi wako? Kama sio kupiga picha kama hizo na kupeleka sehemu ili upate msaada baadaye unajua unakopeleka hiyo misaada.

Mwaka 2010 Watanzania tuamke tena tusichague bora viongozi bali Viongozi Bora. Tumeongozwa miaka zaidi ya 40 na chama fulani hivi lakini maisha ya Mtanzania bado duni......


Chukua Hatua....