Monday, January 26, 2015

MWANAMKE AUA WATOTO WAKE WAWILI NA KUWAZIKA NDANI YA NYUMBA YAKE TABORA



MWANAMKE AUA WATOTO WAKE WAWILI NA KUWAZIKA NDANI YA NYUMBA YAKE TABORA




Mwanamke mmoja mkoani Tabora, kata ya Chemchem amewaua watoto wake 2 na kuwazika ndani ya nyumba yake.


Mume kamkimbia maisha akayaona magumu akawalisha sumu walivyokufa akaanza kuchimba hilo shimo, kuna jirani alimsikia akichimba lakini akampuuza. Siku ya pili akatangaza kupotelewa na watoto ila yule jirani akaliwekea mashaka na akatoa taarifa polisi kwamba kuna siku alimsikia muhusika kama alikuwa anachimba usiku na siku hiyo aliwaona watoto wake wote wakiingia ndani kwao kwani mara ya mwisho walikuwa kwake wakicheza mpaka giza lilopoingia ndio akawaamuru warudi nyumbani.