Wednesday, December 17, 2014

JUST IN: mnenguaji aisha madinda afariki dunia leo




JUST IN: mnenguaji aisha madinda afariki dunia leo
Aliyekuwa mnengua hodari wa African Stars band "Twanga Pepeta" na Extra Bongo Aisha madinda enzi za uhai wake. Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Aisha amefariki dunia leo  jijini Dar es salaam. Habari zaidi za msiba huu tutawaletea punde