Friday, February 27, 2015

NDEGE YA JESHI YALIPUKA NA KUWAKA MOTO UWANJA WA NDEGE MWANZA

NDEGE YA JESHI YALIPUKA NA KUWAKA MOTO UWANJA WA NDEGE MWANZA

Taarifa kutoka Mwanza Airport ni kuwa kuna ndege ya Jeshi imelipuka na kuteketea.

Rubani kafanikiwa kuruka kwa parachuti na kunusurika.

Taarifa zaidi zinafuata

JMF