Mkurugenzi wa Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (IoDT), Bw. Said Kambi (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mkutano uliojadili nafasi ya mwanamke katika uongozi hasa bodi za wakurugenzi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. kulia ni washiriki wa mkutano huo uliotayarishwa na Jumuiya ya Madola kwa kushirikiana na serikali na IoDT.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (IoDT), Bw. Said Kambi (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mkutano uliojadili nafasi ya mwanamke katika uongozi hasa bodi za wakurugenzi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Spika Mstaafu Mama Anne Makinda; Mwezeshaji kutoka Malaysia, Bi. Anne Abraham (kushoto) na Mshauri wa masuala ya Jinsia na Maendeleo ya Uchumi, Sarah Kitakule (wa pili kushoto).
Spika Mstaafu Mama Anne Makinda akisisitiza jambo wakati wa mkutano uliojadili nafasi ya mwanamke katika uongozi hasa bodi za wakurugenzi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (IoDT), Bw. Said Kambi; Mwezeshaji kutoka Malaysia, Bi. Anne Abraham na Mshauri wa masuala ya Jinsia na Maendeleo ya Uchumi (wa pili kushoto).