Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
Mhandisi Aloyce Matei, akitoa ufafanuzi wa gati zilizo katika bandari
hiyo kuhusu kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
Mhandisi Aloyce Matei, akitoa ufafanuzi kuhusu namna Kamera
zinazoendelea kufungwa katika Bandari hiyo kwa Wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Miundombinu, waliotembelea Mamlaka hiyo leo Asubuhi.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
Mhandisi Aloyce Matei, akiwaonyesha Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Miundombinu eneo itakapojengwa gati ya 13 na 14.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Kupakia na Kupakua Mizigo Bandarini (TICTS), Paul
Wallace akiwaeleza Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu namna
kampuni hiyo inavyohudumia makontena katika bandari ya Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sehemu ya Uchukuzi,
Dkt. Leornard Chamuriho akitoa taarifa ya namna Wizara inavyosimamia
Mamlaka zilizo chini yake,wakati Kamati ya Bunge ya MIundombinu,
ilipotembelea Mamlaka ya Bandari(TPA).
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
Mhandisi Aloyce Matei, akifafanua jambo kwa Kamati ya Bunge ya
Miundombinu.