![]() |
JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu (wa pili kulia) akifuatana na maafisa ya jeshi la Magereza Pemba wakati alipowatembelea mahabusu na wafungwa katika Gereza na Wete Pemba kufahamu matatizo mbali mbali yanayowakabili |
MRAJISI wa Mahakama kuu Zanzibar Mhe. George Kazi (kulia) akichambua mambo mbali mbali yanayofanywa katika Mahakama ya mwanzo Wete
AFISA wa kitengo cha komputa (IT) Mahakama za Pemba Mohamed Juma (kulia) akimfahamisha jambo Jaji mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, juu ya utendaji kazi wa komputa za Mahakama ya Wete wakati wa ziara yake Mahakamani hapo
MKURUGENZI wa baraza na mji Wete Mgeni Othman aliyesimama akielezea matatizo mbali mbali yanayoikabili Mahakama ya Mwanzo Wete, wakati jaji mkuu wa Zanzibar alipofanya ziara Mahakamani hapo
AFISA Mdhamini Wizara ya Ardhi, Maji, Makaazi na Nishati Pemba Hemed Salum Hemed akizungumzia matatizo mbali mbali yanayoikabili Mahakama ya ardhi Wete, wakati wa ziara ya jaji mkuu katika Mahakama hiyo. Picha zote na Picha na Ameir Khalid