Thursday, August 06, 2015

Breaking News: VIDEO Lipumba amejiuzulu Uenyekiti Wa CUF....Adai UKAWA Wameshindwa Kusimamia Makubaliano

Breaking News: VIDEO Lipumba amejiuzulu Uenyekiti Wa CUF....Adai UKAWA Wameshindwa Kusimamia Makubaliano

Mwenyekiti  wa  Chama  cha  Wananchi, CUF, Profesa  Ibrahim  Lupumba  amejiuzulu  nafasi  ya  Mwenyekiti  wa  chama  hicho  kwa  madai  kuwa  UKAWA  wameshindwa  kusimamia  makubaliano  waliyokuwa  wameyafikia.

Lipumba  ametangaza  uamuzi  huo  LEO  Mbele  ya  waandishi  wa  habari katika  ukumbi  wa  hoteli  ya  Peacock  jijini  Dar  es  Salaam  na  kusema  yeye  atabaki  kuwa  mwanachama  wa  kawaida  wa  CUF.

NIMEKUWEKEA VIDEO HAPA CHINI