Wednesday, April 15, 2015

WATU TISA WAKAMATWA MSIKITINI WAKIWA NA VIFAA VYA MLIPUKO



WATU TISA WAKAMATWA MSIKITINI WAKIWA NA VIFAA VYA MLIPUKO

Watu 9 wamekamatwa Morogoro wakiwa wamejifungia kwenye msikiti na vifaa vya milipuko, katika purukushani hiyo askari mmoja amejeruhiwa kwa kukatwa na jambia.
- Mmoja aliyejulikana kwa jina la Omary, ameuwawa kwa kuchomwa moto na wananchi, alikuwa mkazi wa Ruhembe Kilombero.


Name: Gaidi1.png Views: 0            Size: 246.3 KB

Name: gaidi3.png Views: 0            Size: 231.1 KB

VIA-JMF