Friday, April 10, 2015

Mgomo wa Madereva: Polisi Waamua Kutumia Mabomu ya Machozi Stendi Kuu Ubungo, Dar

Mgomo wa Madereva: Polisi Waamua Kutumia Mabomu ya Machozi Stendi Kuu Ubungo, Dar
Habari  zilizotufikia zinaarifu Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kutumia mabomu ya machozi katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo kutuliza vurugu zinazofanywa na abiria pamoja na wananchi kufuatia mgomo wa madereva.