Thursday, April 16, 2015

AJALI NYINGINE ARUSHA JIONI HII!!




AJALI NYINGINE ARUSHA JIONI HII!!
gari mali ya kampuni ya kutengenezea mikate ya Super loaf iliyokuwa ikitokea moshi kuelekea Arusha imepata ajali muda mchache uliopita baada ya kugongana na semi trailer..