Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Jaji Augustino Ramadhani wakati jaji huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.