Wednesday, July 02, 2014

Bidhaa za Afri Tea and Coffee Blenders (1963) LTD zavutia kwenye maonesho ya SabaSaba



Bidhaa za Afri Tea and Coffee Blenders (1963) LTD zavutia kwenye maonesho ya SabaSaba
 Bidhaa mchanganyiko za Afri Tea and Coffee Blenders (1963) LTD katika banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam
 Mdau Sinda Leonard Sinda, Afisa Mauzo Mwandamizi wa  Afri Tea and Coffee Blenders (1963) LTD akiwa tayari kukuhudumia bandani pao
 Sehemu ya bidhaa mchanganyiko za Afri Tea and Coffee Blenders (1963) LTD
 Mgeni akipewa maelezo ya bidhaa ya Mchaichai (Green Tea) inayotengenezwa na  Afri Tea and Coffee Blenders (1963) LTD
Kikosi kazi cha  Afri Tea and Coffee Blenders (1963) LTD kwenye maonesho ya SabaSaba