Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo cha mabadiliko ya tabianchi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CCCS), Prof. Pius Yanda akifungua semina ya kikanda ya athari na changamoto zitokakanazo na mabadiliko ya tabianchi inayoshirikisha wajumbe kutoka maeneo kame inayofanyika mjini Singida.
Mhadhiri na mtafiti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Emma Liwenga akitoa mada kuhusu maenedelo ya mradi wa mazingira kwenye maeneo kame unaonedeshwa na kituo cha mabadiliko ya tabianchi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Wadau wa mazingira wakifutilia mada zianazotolewa.
Mtaalam wa mabadiliko ya tabianchi Bw. Edmund Mabhuye kutoka CCCS akitoa mada kuhusu tafiti zilizofanywa na viashiria vya mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania.
Picha ya pamoja ya washiriki wa semina hiyo. Picha na Obeid Mwangasa