Ofisa Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Albert Kitunga, (kulia) akimsajili mwanachama mpya wakati wa maonesho ya elimu ya kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam, kushoto ni Ofisa mwenzake wa Mfuko huo, Jacob Ondara
Wateja wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF wakijisajili sanjari na kupewa vitambulisho vya uanachama wa mfuko huo katika maonesho hayo.