Thursday, December 11, 2014

MPAGAMA WA BAWACHA AUNGURUMA DODOMA




MPAGAMA WA BAWACHA AUNGURUMA DODOMA
Mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Dodoma, Kamanda Eva Mpagama, akimwaga sera wakati wa mkutano wa kampeni za uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa na vijiji kwenye kijiji cha Mahama, jimbo la Chilonwaa, mkoani Dodoma. Uchaguzi huo utafanyika Desemba 14 mwaka huu.