Thursday, December 11, 2014

NISHANI ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZATOLEWA KWA WATANZANIA 28



NISHANI ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZATOLEWA KWA WATANZANIA 28

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Augustino Stephene Ramadhan katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Ali Salum Ahmed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Mohammed Fakih Mohammed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Amani Issack Abraham Sepetu kwa niaba ya Baba yake Issack Abraham Sepetu (marehemu) katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Ali Ameir Mohamed katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Haji Machano Haji katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Bibi Johari Yussufu Akida katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kutoka kushoto) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda wakiwa hafla kutunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]

Waliotunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili ni Adam Sapi Mkwawa (marehemu), Erasto Man'genya (marehemu), Pius Msekwa, Samuel Sitta, Francis Nyalali (marehemu), Augustino Ramadhani, Timoth Apiyo (marehemu), Paul Rupia, Ali Salum Ahmed na Mohammed Fakih Mohammed.

Waliotunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu ni Peter Kisumo, Anna Abdallah, Kingunge Ngombare-Mwiru, Isaack Sepetu (marehemu), Alli Mzee Alli (marehemu), Brigedia Jenerali mstaafu Adam Mwakanjuki (marehemu). Ali Ameir Mohamed, Al-Noor Kassum, Jenerali mstaafu Ernest Kiaro (marehemu), Solomon Liani (marehemu), Augustine Mahiga, Phillemon Mgaya, Ambindwile Mwaijande (marehemu) na Simeon Mwanguku.

Waliopewa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Nne ni Sophia Kawawa (marehemu), Haji Machano Haji, Johari Yusufu Akida na Bendi ya Atomic Jazz. Jenerali mstaafu David Musuguri alipewa Nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji huku Kassim akipewa nishani ya ushupavu.