Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina Salum Ali alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina Salum Ali baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ikulu, Zanzibar