Sunday, December 07, 2014

DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI



DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Jorge Augusto Menezes alipofika Kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Jorge Augusto Menezes baada ya mazungumzo yao leo alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu Zanzibar.]