Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Chama cha Wapatholojia wa Tanzania walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya Kujitambulisha kwa Rais leo (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Chama hicho Dk. Charles Massambu,[Picha na Ikulu.]