Mihangaiko | Hapa na Pale
Hapa na Pale Katika Maisha
Monday, November 03, 2014
MHESHIMIWA SAMIA SULUHU AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA ANNE – MARIE KAARSTAD
MHESHIMIWA SAMIA SULUHU AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA ANNE – MARIE KAARSTAD
Barozi wa Norway Nchini Tanzania Anne – Marie Kaarstad akizungumza na waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu (kulia), alipomtembelea Ofisini kwake, mtaa wa Ruthuli jijini Dar es Salaam leo.
Anne Kristin Hermansen (kushoto),akiwa pamoja na Elisabeth Schwale wakisikiliza mazungumzo baina ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu na Barozi wa Norway Nnchini Tanzania Anne – Marie Kaarstad (hawapo pichani) walipomtembelea ofisini hapo leo.
Pastor Stella Matte akitoa shukrani kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu (kulia), kwa kuudhulia semina waliyoandaa iliyohusu maswala ya ungozi, alipomtembelea ofisini kwake leo mtaa wa Ruthuli jijini Dar es Salaam.
Newer Post
Older Post
Home