Kanisa la HHC Catherdral lilopo Ilemela Mwanza linakukaribisha kwenye kongamano baraka la kujengwa kiuchumi tarehe 3-12-2014 na 4-12-2024 .Wahubiri ni Bishop Joseph Njoroge toka Nairobi Kenya na Bishop Eugene Murisa wa HHC Mwanza.
Mahali: Gold Crest Hotel kuanzia
Saa 9.00 Alasiri hadi 12.30 jioni.
Hakuna Kiingilio wote mnakaribishwa.