Wednesday, November 05, 2014

Balozi Mpya wa Norway aKukutana na Dk.Shein Zanzibar



Balozi Mpya wa Norway aKukutana na Dk.Shein Zanzibar
unnamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana   na Balozi mpya wa Norway Nchini Tanzania Bibi Hanne Marie  Kaarstad ambae alifika Ikulu Mjini Zanzibar  baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu.]