Kibaka huyo akiomba                msamaha baa
          da ya kupokea kichapo kutoka kwa kundi la wananchi                waliofulika kwenye ukumbi huo.
          Kijana mmoja anayesadikiwa kuwa kibaka                   amepokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira baada                  ya kibaka huyo kukamatwa nakijaribu kuiba boda boda .
            
                     Mabausa                wa ukumbi huo wakimtoa nje kibaka akiwa na Pingu mkononi
                     
