Monday, October 06, 2014

VODACOM SAY'S YES TO EXCELLENCE




VODACOM SAY'S YES TO EXCELLENCE
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja wakiinua bango lenye ujumbe wa"We say yes to excellence" ikiwa ni kauli mbiu ya kampuni hiyo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Kutoka kushoto Ofisa mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja Harriet Lwakatare akiwa na wakuu wa idara hiyo Najenjwa Mbaga,Elizabeth Mwamfagasi na Brigita Stephen wakionesha alama ya kidole wakiunga kauli mbiu ya kampuni hiyo ya"we say yes to excellence" katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa wamepozi kwenye picha baada ya kuunga kaulimbiu ya kampuni hiyo ya"we say yes to excellence"katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa wameinua mikono juu kuunga kauli mbiu ya kampuni hiyo katika kuadhimisha siku ya wiki ya huduma kwa wateja duniani inayosema "We say yes to excellence".