Ankali Eng.Moses Mwangende leo tarehe 22.10.2014 anakumbuka siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka mitatu(3) ya ndoa yao na Bi Eng.Nizetha Kimario. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa maisha marefu na kutimiza ndoto zao.