Wednesday, October 01, 2014

Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.

Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.

 Taswira za Nyama Choma Festival iliyofana sana katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam nyama choma festival ya 6th September. Mambo haya yanahamia Mwanza Oktoba 25, 2015
Kwa picha zaidi BOFYA LINK HII