Dereva wa Daladala akiangalia kama anaweza kulichepusha gari lake kwenda kwenye barabara kuu,mara baada ya kuamriwa na Askari kurudi huko.hii imetokea mapema leo katika eneo la Namanga,jijini Dar.