Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 kutoka kushoto David Rwenyagira (Radio Five), Vedasto Msungu (ITV), Mtanzania Peter Masika wa Johannesburg na Gerald Kitabu (The Guardian) wakiwa nje ya nyumba ya Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Mbele ya sanamu ya Mzee Nelson Mandela