Sunday, September 14, 2014

Picha Kutoka IKULU Zanzibar:Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana na Ujumbe Kutoka Benki ya Dunia IKULU Mjini Unguja



Picha Kutoka IKULU Zanzibar:Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana na Ujumbe Kutoka Benki ya Dunia IKULU Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji pia Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mkurugenzi Mtendaji pia Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao jana.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar