Friday, September 26, 2014

Mdau Ephrahim Mushi alamba Nondozz yake ya Masters degree in Environmental Science katika Chuo Kikuu cha Wageningen University nchini Uholanzi



Mdau Ephrahim Mushi alamba Nondozz yake ya Masters degree in Environmental Science katika Chuo Kikuu cha Wageningen University nchini Uholanzi
Mhandisi Ephrahim Mushi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwa ameshika Nondozz yake ya Uzamili ya Sayansi ya Mazingira (Masters degree in Environmental Science) mara baada ya kuipokea katika chuo kikuu cha Wageningen University nchini Uholanzi siku ya Alhamisi tarehe 26 Septemba, 2014 na baadae kulifanyika tafrija ya mkia wa jogoo (Cocktail Party) ya kupongezana iliyofanyika katika hoteli ya De Werled katika mji wa Wageningen,nchini humo.
Mhandisi Ephrahim Mushi wa Wizara ya Nishati na Madini (kushoto) akisubiria kutunukiwa Nondozz yake ya Uzamili ya Sayansi ya Mazingira (Masters degree in Environmental Science) katika chuo kikuu cha Wageningen nchini Uholanzi siku ya Alhamisi tarehe 26 Septemba, 2014 .
Mhandisi Ephrahim Mushi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwa na wadau wakati wa tafrija ya mkia wa jogoo (Cocktail Party) ya kupongezana iliyofanyika katika hoteli ya De Werled katika mji wa Wageningen,nchini Uholanzi.