Gari ya mwenyekiti wa CHADEMA mh MBOWE ilipokuwa ikiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa chama hicho ambao umefanyika mlimani city |
Shekh Rajab Katimba mwenyekiti wa jumuiya ya taasisi za kiislam Tanzania akiwa katika mkutano huo |
MH MANGULA makamu mwenyekiti wa CCM ambaye alimwakilisha mwenyekiti wa ccm MH JAKAYA MRISHO KIKWETE katika mkutano huo. |
Wawakilishi wa taifa la china wakiwa katika mkutano huo |
Dua |
Muasisi wa CHADEMA mzee EDWIN MTEI alikuwepo katika mkutano huo |
Wawakilishi wa mataifa mbalimbali kamaUINGEREZA |
Mke wa katibu mkuu wa chadema pamoja na mke wa mwanasheria mkuu wa CHADEMA TUNDU LISU.Na Habari24 |