Ofisa Mwendeshaji Mafunzo UTT Asset Management, Hilder Lyimo (kulia), akitoa maelezo kwa mwananchi aliyefika katika banda la UTT jinsi mifuko ya Uwekezaji wa pamoja inavyoweza kumpa fursa ya kushiriki katika Masoko ya Fedha na Mitaji ili kukuza pesa zake.
Hekaheka za wananchi zikiendelea wakati wanajaza fomu za kujiunga na mifuko ya UTT Asset Management huku wakisaidiwa na maofisa wa taasisi hiyo.