Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimaiana na Mwenyekiti wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (THTU) Leah Ntara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua mkutano wa Baraza Kuu la Pili la THTU kwenye Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha August 21, 2014.Katikati ni Mwenyekiti wa THTU, Yusufu Singo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano Mkuu wa Pili wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu nchini (THTU) kwenye ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha August 21, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia zawadi ya nembo ya kioo yenye picha yake aliyopewa na Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu (THTU) kwenye ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mjini Arusha August 21, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu