Friday, August 15, 2014

Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto



Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto
 Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, akitoa neno mbele ya washiriki askari Polisi na wadau wengine wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto yaliyofanyika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma,wakati akifunga rasmi mafunzo hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano.
Washiriki wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungwa rasmi kwa mafunzo hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano  wilayani Kongwa.(Picha na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi )