Mkuu                wa Dawati la Jinsia na Watoto Nchini, Naibu Kamishna wa                Polisi (DCP) Adolfina Chialo, akitoa neno mbele ya                washiriki askari Polisi na wadau wengine wa semina ya                mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa                kijinsia na unyanyasaji wa watoto yaliyofanyika mkoani                Dodoma, wilaya ya Kongwa, wakati akifunga rasmi mafunzo                hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano.
          Washiriki                wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya                ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto wakiwa katika                picha ya pamoja mara baada ya kufungwa rasmi kwa mafunzo                hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano mkoani Dodoma,                wilaya ya Kongwa.(Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la                Polisi )
         
