Tuesday, July 01, 2014

WAJUMBE WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI WAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MANYARA



WAJUMBE WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI WAOMNGEA NA WAANDISHI WA HABARI MANYARA
 Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mkuu mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid akizungumza mjini Babati na waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara(hawapo pichani) , juu ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voter Registration (BVR) unatarajia kuanza mwezi Septemba mwaka huu (kushoto) ni Mkurugenzi wa sera na mipango wa Tume hiyo Eugenia Mpanduji na kulia ni Mkurugenzi wa Mji wa Babati Bw. Omary Mkombole. 
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Eugenia Mpanduji akizungumza  mjini Babati na waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara, juu ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voter Registration (BVR) unatarajia kuanza mwezi Septemba mwaka huu (kulia) ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid.