Friday, July 04, 2014

NIDA IMEUNDWA KWA MUJIBU WA SHERIA NA MAJUKUMU YA NIDA YAPO WAZI HIVYO NEC WAACHENI NIDA WAFANYE KAZI KAMA WALIVYOPANGIWA :WAZIRI CHIKAWE



NIDA IMEUNDWA KWA MUJIBU WA SHERIA NA MAJUKUMU YA NIDA YAPO WAZI HIVYO NEC WAACHENI NIDA WAFANYE KAZI KAMA WALIVYOPANGIWA :WAZIRI CHIKAWE
 Waziri wa mambo ya ndani ya  nchi Mathias Chikawe  akiwa anafunga mkutano wa wafanyakazi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa  uliokuwa unafanyika ndani ya hotel ya snowcrest jiji Arusha.
  washiriki  katika mkutano wa Wafanyakazi wa  Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIda wakiwa wanamsikiliza waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa makini wakati akifunga mkutano wao katika hotel ya snowcrest
 waziri akiwa anapena mkono na mkurugenzi mara baada ya kutoa  risala ya kufunga mkutano huo
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) , Dickson Maimu akiwa anatoa shukurani kwa  waziri kwa kuja kufunga mkutano  wao .
 washiriki  katika mkutano wa Wafanyakazi wa  Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIda wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi waziri wa mambo ya nchi Mathias Chikawe   nje ya jengo la hotel ya Snowcrest sehemu ambayo mkutano ulikuwa unafanyika.