Mkurugenzi wa mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Adam Mayingu (kushoto) akisalimiana na msanii Rose Ndauka wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga katika mfuko huo Dar es salaam juzi (kulia) ni msanii Ester Kiama.
Baadhi ya wasanii wakijadiliana jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF'
Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere a.k.a 'Steve Nyerere' (kushoto) akizungumza wakati wa semina kwa ajili ya wasanii iliyoandaliwa na mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' juzi makao makuu ya mfuko huo Dar es salaam.
Mkurugenzi wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Adam Mayingu wa pili kushoto akizungumza na wasanii baada ya kufungua semina kwa ajili ya wasanii mbalimbali Mkurugenzi wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Adam Mayingu (kushoto) akisalimiana na Kocha wa timu ya Simba msimu uliopita Jamhuri Kihwelu wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga katika mfuko huo Dar es salaam juzi.katikati ni Afisa Masoko wa mfuko huo Rahma Ngassa.
BAADHI YA WATU WALIOHUDHULIA SEMINA HIYO