Wednesday, July 23, 2014

Balozi mpya wa Ujerumani nchini amtembelea Dkt Salim Ahmed Salim leo



balozi mpya wa ujerumani nchini amtembelea Dkt Salim Ahmed Salim leo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Mhe Dkt. Salim Ahmed Salim akimkaribisha ofisini kwake balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ambaye alifika kujitambulisha kwake na kumjulia hali leo Jumatano 23 Julai 2014


Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Mhe Dkt. Salim Ahmed Salim akiongea na  balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ambaye alifika kujitambulisha kwake na kumjulia hali leo Jumatano 23 Julai 2014