Wednesday, July 23, 2014

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga, asaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia.

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga, asaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia.
 Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akitia saini katika kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia, kufuatia kutunguliwa kwa ndege ya shirika la Malaysia MH17 na abiria wote 298 kupoteza maisha.
Mhe. Mjenga na mwenyeji wake, Mhe. Dato Ahmad Fadil Shamsuddin, Balozi Mdogo wa Malaysia wakiwa kwenye mazungumzo pamoja na Balozi Mdogo wa Afrika Kusini, Mhe. Manabile Shogole (kushoto).