Monday, June 23, 2014

WABUNGE WAPATA SEMINA YA ITIFAKI YA UMOJA WA FEDHA WA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI



WABUNGE WAPATA SEMINA YA ITIFAKI YA UMOJA WA FEDHA WA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI
mof 1
Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji wa Uchumi Dkt. Mary Nagu akifungua semina ya Wabunge kuhusu Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jana katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum.

mof 2
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisisitiza umuhimu wa Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Wabunge katika semina iliyofanyika jana ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma.
mof 3
Mkurugenzi Msaidizi Sekta za Uzalishaji Wizara ya Afika Mashariki Dkt. Abdula Makame akiwaeleza Wabunge umuhimu wa Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa semina iliyofanyika jana katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma.
mof 04Mkurugenzi  wa Masuala ya Utafiti wa Uchumi na Sera Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Joseph Masawe akitoa mada juu ya Majukumu ya Benki Kuu ya Afrika Mashariki na Benki Kuu Wanachama  na Nchi wanachama walivyojifunza kutoka Umoja wa Ulaya wakati wa semina ya Wabunge iliyofanyika jana katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma.
mof 5
 Mchungaji Luckson Mwanjale, mbunge wa Mbeya Vijjini akichangia hoja juu ya Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jana mjini Dodoma.
mof 6
Sara Msafiri (Viti Maalum) akichangia mada juu ya itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa semina ya Wabunge iliyofanyika jana katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma.
 (Na Mpiga picha wetu) 
CHANZO FULL SHANGWE