Gari aina ya Lori likiwa limetekezwa. |
Trekta likiwa limetelekezwa. |
Mkandarasi huyo ambaye ni Pita construction Company Limited kutoaka Dar es Salaam alitelekeza vifaa hivyo toka mwaka 2010, katika kijiji cha Habiya kata ya Bumela, ambapo alipewa kazi ya ujenzi wa bwawa la habiya na kushindwa ndipo alipofukuzwa kazi na halmashauri ya Wilaya ya Bariadi.
alipofukuzwa kazi mkandarasi huyo mpaka sasa ameshindwa kufuata vifaa hivyo na kuamua kuvitelekeza kijijini hapo.