Tuesday, March 12, 2013

Polisi Zanzibar yatoa mchoro wa sura ya anayeshukiwa kumwuua Padre Mushi

Picture
Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wenye taswira ambayo inasadikiwa kuwa ndiyo sura ya muuaji wa padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Zanzibar aliyeuwawa mwezi uliopita akijiandaa kuingia Kanisani ili kuongoza ibada.

Popout