Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas (wa pili kulia) akiwa na washindi wa kwanza wa mashindano ya kimataifa ya mashua kutoka Uholanzi, Frank De Waared na Gunnar Larsen katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wageni waalikwa kwenye maonyesho hayo.
Meneja Masoko wa TBL, Matalia Celani (kushoto)
Washindi wa mashindano ya Kimataifa ya mashua wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa zawadi zao jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Castle Lite.
Zawadi ambazo walipewa washirindi wa mashindano hayo.