Tuesday, October 09, 2012

CUF Yapata Naibu Katibu Mkuu Mpya Zanzibar



Hamad Masoud Hamad ateuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) nafasi aliyojiuzuku Ismail Jussa wiki iliyopita ambaye alisema kuwa katingwa na shughuli nyingi za uwakilishi bungeni