MH. MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA AKIWA ANASHUSHWA KATIKA GARI LA WAGONJWA KWA AJILI YA KWENDA KUPANDA NDEGE
VIJANA WAKIWA WAMEMBEBA KWA MAKINI
MUHESHIMIWA MBUNGE AKIWA AMEPUMZIKA
AKIPEWA POLE NDANI YA UWANJA WA NDEGE
MH. MKUU WA MKOA WA MBEYA AKIWA AMEWASILI UWANJA WA NDEGE MBEYA
MUHESHIMIWA MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA
MAMA HILDA MGOYE PAMOJA NA MAMA KYENDESYA WAKIWA KUMPA POLE NA KUMSINDIKIZA MUHESHIMIWA MBUNGE
MKUU WA MKOA MUHESHIMIWA ABASS KANDORO AKIMPA POLE TENA MH. MARY MWANJELWA
DEREVA WA MUHESHIMIWA MBUNGE AKIWA KATIKA GARI LA WAGONJWA AKINGOJEA KUSAFILISHWA KWENDA DAR ES SALAAM. DEREVA HUSU AMEUMIA SANA MIGUU YOTE PAMOJA NA KICHWA.
PICHA ZOTE NA: www.mbeyayetu.blogspot.com