11 wa Simba walioanza leo |
11 wa Azam walioanza leo |
Bao la kwanza la Azam |
Bao la kwanza la Azam |
Azam wanashangilia bao la kwanza |
Hatari kwenye lango la Simba |
Hatari kwa kwenye lango la Simba, Kaseja chini kule |
Himid Mao alikaribia kufunga baada ya kumvisha kanzu Kaseja, lakini mpira ukapaa juu kidogo |
Kipre Tchetche akiwatoka mabeki wa Simba |
Azam wanashambulia |
Hatari kwenye lango la Simba |
Kipre Tcheche anawatoka mabeki Simba |
John Bocco anamtoka Maftah |
Bocco anatoa pasi ya bao |
Humud anampongeza Bocco kufunga |
Bocco anampongeza Kipre kuitumia vema pasi yake |
Mashabiki nwa Simba |
Akuffo akiwa amembeba Okwi baada ya kufunga bao la kusawazisha |
Chollo chini..Aggrey Morris juu |
Abdallah Juma akumpongeza Kazimoto kufunga la ushindi, Anyeipa mgongo kamera ni Nyosso |
Kazimoto akiwapungukia mkono mashabiki wa Yanga baada ya kufunga la ushindi. Kulia Nyosso na kushoto Abdallah Juma |
Mashabiki wa Simba wakiwa na jezi iliyoandikwa Kagawa Ngassa |
Kushoto Kaseja, kulia Ngassa na Akuffo wakicheza kiduku |
Ngassa akishangilia kwa staili ya aina yake |
Nyamlani akimpa mkono wa pongezi Akuffo. Anayemfuatia ni Waziri Mahanga, akiwasubiri Ngassa na Komabil Keita SOURCE BIN ZUBEIRY |