Tuesday, September 11, 2012

NBC yachezesha Droo yake ya pili ya Dabo Mshiko Wako na NBC leo



 
Meneja Chapa na Matangazo wa Benki ya NBC, Arden Kitomari (katikati, waliokaa) akitoa maelezo wakati wa droo ya pili ya promosheni ya Dabo Mshiko Wako na NBC jijiji Dar es Salaam leo.
Wateja 10 wa benki hiyo walijishindia viwango mbalimbali vya fedha kutokana na kiasi cha akiba walichojiwekea katika akaunti zao. Wengine ni maofisa wa NBC, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (GBT) na kutoka Selcom Wireless.
 
Meneja Chapa na Matangazo wa Benki ya NBC, Arden Kitomari (katikati, waliokaa) maofisa wa NBC, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (GBT) na wa kutoka Selcom Wireless wakiangalia majina ya washindi wa droo ya pili ya promosheni ya Dabo Mshiko Wako na NBC jijiji Dar es Salaam leo. Wateja 10 wa benki hiyo walijishindia viwango mbalimbali vya fedha kutokana na kiasi cha akiba walichojiwekea katika akaunti zao.